maonesho ya nanenane

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MOI yahudumia Wananchi 1,981 Maonesho ya Nanenane 2025 Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imehitimisha ushiriki wake katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane 2025' jijini Dodoma kwa kutoa huduma kwa wananchi 1,981. Huduma zilizotolewa na MOI zilihusisha uchunguzi wa awali (Screening), ushauri wa kitaalamu kuhusu matatizo ya mifupa...
  2. N

    Waziri Mkuu atembelea Banda la Yas maonesho ya Nanenane 2025

    WAZIRI Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa ametembelea Banda la Yas kwenye Maonesho ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanayoendelea jijini Dodoma. Maonesho hayo ya Kitaifa ya Wakulima maarufu (Nane Nane) yanaendelea jijini Dodoma ni uthibitisho kuwa Yas na...
  3. Banda la MOI laendelea kuwa Kivutio Maonesho ya Nanenane Dodoma

    Wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa wa Dodoma na jirani wameendelea kujitokeza kwa wingi katika banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni, Jijini Dodoma. Katika banda hilo, wananchi wanapata...
  4. MOI yasogeza Huduma za Kibingwa na Kibobezi Maonesho ya Nanenane Dodoma

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) inaendelea kung’ara katika Maonesho ya Kitaifa ya Kilimo (Nanenane) yanayofanyika katika viwanja vya Nzuguni, jijini Dodoma kwa kutoa huduma za kibingwa na kibobezi kwa wananchi kutoka maeneo mbalimbali ya nchi. Katika banda lake, MOI inatoa...
  5. PreGE2025 Mbeya: Wananchi Wajazana kusoma Bango la Utekaji kwenye maonesho ya Nanenane

    Huko Mbeya kama ilivyo kila Mahali Tanzania kuna kilele cha Maonesho ya Wakulima au maonesho ya Nanenane. Pamoja ni bidhaa mbali mbali za kilimo ikiwemo vifaa vyake kama Matreka kuonyeshwa, kivutio kikubwa ni Bango lenye maelezo ya Utekaji, Watu wengi wamejazana mahali lilipo bango hilo, hasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…