manyoni

Manyoni is a town in central Tanzania. It is the district headquarter of Manyoni District.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Shule ya Msingi Chicheho Wilayani Manyoni haina madawati

    Shule ya msingi chicheho, iliyopo kata ya sanza wilaya manyoni ina upungufu mkubwa wa madawati (nusu ya shule nzima wanafunzi wanakaa chini ) hali ni mbaya sana.
  2. JamiiForums Tanzania Manyoni: Wasiojulikana wafukua kaburi na kuondoka na mwili wa mtoto

    Mwili wa mtoto Christian Samson (1), aliyezikwaa siku ya Jumapili katika makaburi ya kitongoji cha Kipondoda wilayani Manyoni mkoani Singida, umefukuliwa na kuchukuliwa na watu wasiojulikana licha ya ndugu kuutafuta bila mafanikio. Simanzi na huzuni zilitawala katika makaburi hayo hii ikiwa sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…