Miaka 63 iliyopita, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere aliandika kijitabu Tujisahihishe, akionya tabia ya kutafuta mchawi nje ya nchi kila tukipatwa na matatizo tuliyoyasababisha sisi wenyewe.
Mwalimu alisema ni rahisi kulaumu “mabeberu” au “watu kutoka nje” kuliko kujitazama na kukiri ukweli...