manufaa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ushauri: TAKUKURU ivunjwe, haina manufaa yoyote bali inaongeza gharama za uendeshaji wa serikali

    Habari! Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (TAKUKURU) au PCCB ivunjwe maana inaiongezea serikali gharama za uendeshaji. Manufaa yake ni kidogo sana, taasisi zingine ndani ya serikali hii ya JMT zinaweza kufanya majukumu yanayofanywa na PCCB. Nina miaka 7 ndani ya serikali, sijawahi kuona...
  2. Pesa za wanaofariki zilizopo kwenye mitandao ni manufaa kwa mitandao tu? Sidhani kama watu hufatilia

    Hivi hizi pesa tunazoweka kwenye simu ikitokea umefariki hivi kweli kuna watu wanapata wakati kweli kufatilia pesa za marehemu kwenye simu maana naona kama hizi hela zinapotea kabisa. Sijui kuna utaratibu gani uwe mzuri na ushauri namna gani ifanyike.
  3. Habari hizi za kimataifa kwa manufaa ya nani hapa Tanzania?

    Wakongwe wa tasnia ya habari akiwemo mkuu Pascal Mayalla mtanisaidia kujua ukweli wa hili. Kwa muda mrefu redio na TV zimekuwa na hizi habari wanazoziita za kimataifa na wakati mwingine wanavuka na kuzichambua kabisa, kiukweli Sina Shaka na hilo, lakini Shaka inakuja wanatuletea habari za...
  4. Hizi hapa namba za ma -OCD wote Tanzania, tuzitumie kwa manufaa

    NAMBA ZA OFISI ZA WAKUU WA POLISI WILAYA(OCDs) MIKOA YOTE Ndugu Balozi/Mtumiaji wa Barabara Tafadhali hifadhi namba hizi kwenye simu yako ili kukurahisishia kutoa taarifa za matukio ya kihalifu au kutaka huduma ya OCD wakati wowote. Ni AIBU kwa balozi kutokuwa na hizi namba. OCD CHAMWINO...
  5. Iko wapi Royal Tour mliopiga chapuo kuwa italeta manufaa kwa Watanzania? Mbona tozo na ughali wa maisha unazidi kuwabana Watanzania

    Mlisema Royal Tour itatunyanyua kiuchumi na kuleta watalii lukuki na hivyo pato la taifa kunyanyuka. Sasa kama Royal Tour ilikuwa muarobaini wa kulipatia taifa letu mapato sasa hizi tozo kandamizi za nini? Mlipigia debe sana Royal tour kwa ushabiki wa kisiasa .Leo hii mnalia na kusaga meno.
  6. M

    SoC02 Kilimo chenye manufaa

    Moja ya kilio kikubwa mashambani ni mavuno, pamoja na nguvu nyingi zilizowekezwa na watanzania wengi lakini mavuno yameendelea kuwa hafifu ama kukosekana kabisa. Yote hii inasababishwa na matumizi ya njia duni za kilimo pamoja na kukosekana kwa ardhi yenye rutuba. Sehemu kubwa ya ardhi hiyo...
  7. Kuzikwa kwa ibada za dini tulizonazo au kuzikwa kipagani kuna manufaa gani kwa marehemu?

    Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja. Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia. Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...
  8. S

    SoC02 Mzazi mlee mtoto kwa upendo kwa manufaa ya mtoto ya baadaye

    Habarini ndugu watanzania wenzangu Mimi Ni binti wa miaka 25 kwa sasa Ni mama wawatoto wa 4 na hapo niliolewa na miaka 14 chanzo ninaandika kuuchungu mkubwa sana Tena sana. Nilizaliwa wilaya ya hai mkoa wa Kilimanjaro na bw/bi festo na nimtoto wa pili katika familia ya watoto8 kiukweli...
  9. H

    SoC02 Serikali ifanye haya kuwapa thamani wasomi wetu kwa manufaa ya taifa

    Ndugu wana jukwaa natumai mna afya njema. Naomba nami ni changie kwenye hili jukwaa la story of change 2022. Ndugu wanajukwaa, Tanzania kama ilivyo nchi nyingine, vijana wengi wamechangamkia elimu kama sehemu pekee inayoweza kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kuishi maisha bora hapo badae...
  10. M

    SoC02 Mfumo wa Elimu kwa manufaa ya Wanafunzi na Taifa

    Jina: Hussein Juma Jitihadi 1.0 UTANGULIZI Elimu ni chachu katika maendeleo ya kila kitu, mfano teknolojia, uchumi, biashara n.k. Maendeleo ya nchi yoyote duniani yanatokana na athari chanya kutoka katika mfumo wa Elimu ulio imara na wenye kubadilika ili kukidhi mahitaji. Elimu hutumika...
  11. M

    SoC02 Sayansi na teknolojia itumike ipasavyo kuleta manufaa na tija inayohitajika

    UTANGULIZI. Tupo katika zama za utandawazi; Sayansi na teknolojia imechukua nafasi kubwa Sana katika ulimwengu huu wa Sasa hususan katika shughuli mbalimbali za uzalishaji wa kiuchumi, mambo ya siasa, elimu, pamoja na masuala ya kijamii. Teknolojia NI ujuzi wa kutumia vyombo (mashine) Ili...
  12. Mpaka sasa Royal Tour haijaleta manufaa yoyote nchini

    Tusidanganyike kirahisi wakuu, Kuna watu maarufu sana duniani kama David Beckham na mke wake walisha wahi kuja kula good time hapa nchini na wakazungukia vivutio vyetu miaka ya nyuma. Pia kuna ma Rais wastaafu wa nchi kubwa kama US wamewahi kuja kula good time na kusepa, wasanii pia wamekuja...
  13. Michango isiyokuwa na manufaa kwa mchangiaji

    Kuna kipindi nilipitia wakati mgumu, wa kuuguza watu wangu wa karibu wawili kwa wakati mmoja, na ikapelekea hali ya kuyumba kiuchumi. Kwa sababu pia matibabu yao yalikuwa yako juu. Nilikomba mpaka senti ya mwisho; hakuna rafiki, kikundi, wala ndugu aliyejigusa. Wengi walikaa mbali na mimi...
  14. C

    Swalha na Said walishakubali ndoa imekufa ila wadananda wakaendelea kuishinikiza kwa manufaa yao binafsi

    Dada mdogo wa marehemu mke amesema dada yake alimwambia kashachoka kutukanwa na mumewe na hadhani kama ndoa ina manufaa, mdogo mtu aliendelea kumshinikiza amalize mgogoro kwani yeye anaona wanagombania kitu ambacho hakipo hivyo rahisi kusuluhisha. Mdogo mtu alikuwa anaishi kwenye nyumba nzuri ya...
  15. Vita Ukraine itaisha na zile billion za ruzuku kwenye mafuta hatutaona manufaa yake.

    Salama wandugu,si ajabu zile billion zilizotolewa kwa ajiri ya kupunguza Bei za mafuta tusione manufaa yake tutashangaa Vita Ukraine imeisha na Bei ya mafuta ipo palepale na billions zetu zimetumika na wajanja nimeamua kuja hapa baada ya kuona Hali ni tete kwenye usafiri wa umma wameanza mwendo...
  16. Kuna haja ya kuficha kinachojadiliwa kama kina manufaa ya wananchi?

    Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu! Kwa kifupi Time is best judge and it will tell! Kikao kinaendelea Kwa Siri kubwa kana kwamba wanaenda Kwa mganga? Lakin wanadhani hatuyajui wanayojadili Sidhani kama...
  17. Madhila ya Force Account: Mwalimu afungwa kwa kula pesa ya ujenzi

    Huko Kanda Maalum ya Mkoa wa Mara, Mwalimu amefungwa kwa kula hela ya ujenzi wa madarasa ya shule yake. Haya ndiyo matokeo ya sra zisizo na mashko katika ujenzi. Badala ya fedha hizo kuonekana kama mtaji wa ujenzi, watu wanageuza kuwa fedha za kula. Hili limetokea sehemu nyingi sana nchini...
  18. R

    Kuna haja ya Umoja Party kubadili jina kwa manufaa mapana ya Taifa

    Baada ya vuguvugu kubwa la kuanzishwa kwa chama cha siasa cha Umoja Party ni dhahili sasa safari imeanza lakini nna ombi moja tu tubadili Jina kuwa Chama cha Ukombozi na Umoja Tanzania (CUUTA). Sababu kubwa ni kwamba kwanza tunahitaji kukomboa watu kifikra na kiuchumi na ndipo tuwaunganishe...
  19. Tusipotoshe umma: Hakuna aliyetengwa na hayati Magufuli, bali alikataa uhuni wa Ki-CCM ambao haufai kwa manufaa ya taifa

    Naona kuna propaganda mnaeneza mitandaoni kuwa mlisaidia CCM kupata ushindi 2015 na baada ya uchaguzi mkuu hayati JPM alipokamata madaraka aliwatenga na kuwaona hamfai wakati mlimuweka madarakani. Acheni kupindisha maneno. Kila mtu anajua mlishazoea masuala ya kihuni ya kupora mali za umma...
  20. Ujio wa DRC una manufaa gani kwa EAC?

    DRC: Jumuiya ya Afrika Mashariki yakaribisha mgeni mpya baada ya kuwasili kwa DRC, anakuja na mazuri gani? Mataifa wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki yana kila sababu ya kusherehekea, yakiikaribisha Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo (DRC) kuwa mwanachama mpya wakati viongozi wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…