manispaa ya kahama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Video: Hali ilivyo manispaa ya Kahama leo Desemba 9, wananchi wameendelea na shughuli zao

    Hii ndiyo hali ya mitaa mbalimbali ya Manispaa ya Kahama kama unavyoona pichani. Baadhi ya watu wameendelea na shughuli zao kama kawaida huku idadi kubwa ya biashara zikiwa zimefungwa, Vikosi vya ulinzi vimetanda kuimarisha usalama.
  2. GE2025 Mwenge wa uhuru kutembelea miradi yenye thamani ya zaidi bilioni 6.4 manispaa ya Kahama 2025

    Halmashauri ya Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga, inatarajiwa kuupokea Mwenge wa Uhuru kimkoa Agosti 3, 2025 ukitokea mkoani Tabora, na kuanza kukimbizwa siku hiyo katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama. Mwenge wa Uhuru 2025 utapokelewa katika viwanja vya kituo cha mabasi Kagongwa ukitokea...
  3. A

    KERO Kuna foleni kubwa ofisi ya vizazi na vifo Manispaa ya Kahama, unaweza kutumia siku nzima kupata huduma

    Manispaa ya kahama, ofisi ya vizazi na vifo kuna changamoto kubwa ya foleni, kwani unaweza kutumia siku mzima kupata huduma! Nashauri mamlaka husika kuongeza watendaji, kwani kuna mtoa huduma mmoja tuu na idadi ya watu ni kubwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…