Ufunuo imeandikwa mambo ya kutisha sana sana yani sana, mtumishi wa MUNGU Yohana nahisi hata yeye alitetemeka wakati anayaandika mambo hayo.
Panapotisha zaidi ni mapigo saba ya malaika saba wenye vikombe vya gadhabu.
Yaani nikiwa nasoma halafu naimagine yanatokea.
Tetemeko ambalo halijapata...