liyekuwa gavana wa kaunti ya Nairobi, Mike Mbuvi Sonko, anataka mechi ya robo fainali ya CHAN kati ya timu ya taifa ya Kenya na Madagascar irudiwe.
Katika ombi aliloliwasilisha mbele ya bodi ya nidhamu ya shirikisho la soka barani Afrika CAF, Sonko anadai kuwa waamuzi wa mechi walichezesha...