Nchi imeoza hii hakuna cha TISS, JWTZ hawa nao hamna kitu ni vile walijificha kwenye kulinda mipaka na hawachangamani na siasa ila hamna kitu nao walewale, Police hawa ndio hopeless kabisaaa kila mtu anawajua hakuna haja ya kuwaelezea.
Kila sehemu kumeoza sio michezo, afya, elimu, mahakama...