Barabara , kajenga Mama
Dpw kawaleta Mama
Flyover.... mama
Mwendokasi...mama
Shirika la ndege la Zanzibar, Mama
Watalii kuongezeka kwa wingi licha ya Tanapa kutokutoa gawio zuri kama inavyopambwa... ni Mama, sjui wanampiga tu huko, mi sijui
Ngorongoro kote kule ni Mama
Deni kalipaisha kwa...