Habari ndugu zangu
Niko na changamoto kidogo. Nimefanya kazi na shirika X kwa muda wa miezi nane na kwenye mkataba wamesema kutakuwa na siku 28 za likizo ya kulipwa ambazo mimi sijatumia hata siku moja.
Sasa imetokea nimeresign, ila HR anasema siwezi kulipwa hio hela ya likizo kwa sababu mkataba...