makaburi ya kishenge

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Responded Madai ya Halmashauri Bukoba kuuza mchanga wa makaburi ya Kishenge, magari yapigwa marufuku kuingia eneo hilo

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kueleza kuwa kuna baadhi ya Maafisa wa Halmashauri ya Manispaa ya Bukoba wamekuwa wakiuza mchanga eneo lililokuwa na makaburi ya Kishenge, Bukoba Mjini licha ya kuwa limetengwa kwa ajili ya uwekezaji, hatua zimechukuliwa na Mamlaka husika. Kusoma hoja ya Mdau...
  2. Waziri Ndejembi ajionea eneo linalopendekezwa kutwaliwa kujenga kitega uchumi bukoba

    Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ametembelea na kujionea eneo linalotarajiwa kujengwa kitega uchumi kwa ajili ya wafanyabiashara wadogo (wamachinga) ambapo zaidi ya Sh. Bilioni 9 kukamilisha azma hiyo ya Serikali. Waziri Ndejembi amesema hayo baada ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…