Habari za wakati huu wanajamvi pendwa la MMU.
Ni siku ya tarehe 05/05/2021 kwa wale ambao siku ya jana 04/05/2021 ilikuwa siku ndefu poleni na wale ilikuwa kinyume chake hongera kwenu. Acha niende kwenye hoja moja kwa moja.
Nimekuwa kwenye mahusiano na binti wa mtu kwa mwaka na kitu sasa...