maisha ya kizungu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni kweli hatufanikiwi sababu ya serikali zetu au Kuna namna maisha ya kizungu yametuathiri?

    Maisha ya kwenye runinga ni gharama kubwa sana Kuna picha nzuri ya Teknolojia,majengo,Magari na hali safi ya mazingira Kuna picha ya uhuru wa vyama na Ibada. Unadhifu huu unalinganishwa maendeleo ya nchi zetu ambazo kiuhalisia ni changa,kiuhalisia zimejengwa katika mitazamo mingi,Imani na...
  2. Nataka kuishi maisha ya kizungu

    Jamani nataka kuyaweka maisha yangu kizungu hasa kwenye upande wa chakula aya naombeni menu ya siku nzima. Menu ya kizungu.mfano chips,mayai pembeni na waini ,aya menu nyingine ya kizungu jamani hapa kwangu sitaki kula kula ugali.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…