Oyaa wakuu
Wazee sijui hawanielewi
Wamenipa 2 yrs nipeleke babe mama,
baada ya kuwa sister kachumbiwa maan tuko wawili tu, nilibaki nachekacheka tu.
Hawajui nimeshapigwa na vitu vizito na hawa vipepeo wa dunia,
Uchumi bado hauko stable , pesa inanitosha mwenyewe.
Ingawa nina vipepeo viwili...