Habarini,
Haswa kwa wale wanaume ambao ni so called good & responsible men, unakutana na mwanamke, unampenda, unajitahidi kumhudumia almost mahitaji yake yote (kama ambavyo wanatufosi na kutushauri humu jf kuwa tuwahudumie ili penzi linawiri😅) kumbe anayokuwazia moyoni yanatisha.
Nilipita pita...