Nitangulize samahani zangu kwa wakubwa nitakao wakwaza lakini uzi huu ni kutaka ushauri tu hvyo naomba mawazo yenu
Iko hivi niko kwenye mahusiano na binti mmoja kwa muda wa miaka mi 3 sasa,
Tulianza mahusiano tukiwa mkoa mmoja (X), then yeye alipata kazi mkoa mwingine (y) ila ni mikoa karibu...