mahakamani

  1. JamiiForums Tanzania Kisutu: Erick Kabendera afikishwa mahakamani, upelelezi dhidi yake haujakamilika

    Wakili Mwandamizi wa Serikali, Wankyo Simon ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwandishi wa Kujitegemea wa Habari za uchunguzi, Erick Kabendera bado haujakamilika Kabendera anashtakiwa kwa Makosa matatu ikiwemo kukwepa Kodi kiasi cha...
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Erick Kabendera ndio huu

    Kwanza kabisa niwape pole familia ya Kabendera, wengi wanaogopa kusema ukweli na makosa ya Kabendera kwa upande wake,kwa kuwa wataonekana hawana ubinaadamu. Lakini kama nchi, Kabendera aliikosea sana akaangalia maslahi yake akamtukana Rais atakavyo akainanga serikali atakavyo eti leo hii kuna...
  3. W

    JamiiForums Tanzania MSWADA: Sababu 50 za kuunga mkono, dhidi ya sababu 15 za kuupinga Mswada wa sheria ya vyama vya Siasa Tanzania, wa Oktoba 2018.

    A. SABABU 50 ZA KUUNGA MKONO. 1. Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa itakuwa na jukumu la kusajili vyama vya siasa. 2. Kutoa elimu ya uraia ni jukumu la pili la Ofisi ya msajili wa vyama vya siasa, 3. Ofisi ya Msajili kuwa ndiye msimamizi wa mienendo ya vyama vya siasa vyote nchini Tanzania...
  4. JamiiForums Tanzania Mchungaji Mtikila asema CHADEMA wanahusika na kifo cha Chacha Wangwe; kumfikisha Lowassa Mahakamani

    Swali: Kwa mfano, amesema elimu itakuwa ni ya bure kuanzia chekechea mpaka chuo kikuu. Lakini pia amesema anauchukia sana umasikini na amechukua makundi ambayo yamebeba idadi kubwa ya Watanzania: Mama n’tilie, dereva bodaboda na vijana wasiao na ajira. Tuliona juzi akishiriki katika usafiri wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…