Maggid Mjengwa, Mchambuzi wa Masuala ya Siasa akizunguza Clouds TV
"CCM na Mwenyekiti wao chini ya uongozi wa Dkt Samia Suluhu Hassan hatusikii sana masuala yenye kuhusiana na kashfa na hatusikii sana masuala ya ufisadi. Alisema hatakuwa na Mswalie Mtume na wale ambao wanachukua pesa za...