magaidi wa hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas waanza kumeguka!!

    Yasser Abu Shabab, ambaye anajulikana waziwazi huko Gaza kwa kuipinga Hamas, anatoa wito kwa wananchi wa Gaza kuja kuishi chini ya ulinzi wa jeshi la Israel huko Rafah. Ikiwa atafaulu, itakuwa pigo la kifo kwa magaidi wa Hamas IDF shikilieni hapo hapo na safari hii mpaka wanyooke tu!!
  2. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wapata kipigo kikali

    Magaidi wa Hamas wanaendelea kupigwa kila uchao baada ya maficho yao kuangamizwa. Ni kawaida ya Magaidi kujificha kwenye maeneo ya raia.
  3. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas wanaangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

    Magaidi wa Hamas wanaendelea kuangamizwa huko Gaza!!! Na Gaza inazidi kusawazishwa na muda si mrefu itakuwa sawa!! https://x.com/vividprowess/status/1928494110580896113?s=61 https://x.com/vividprowess/status/1928494110643818982?s=61
  4. JamiiForums Tanzania Magaidi wa Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza

    Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza Mapema leo, mamia ya wakaazi wa Gaza walivamia ghala kubwa katikati mwa Gaza, linalotumiwa na Hamas kuweka akiba ya chakula kingi, yakiwemo magunia ya unga. Ghala hilo lilikuwa likihifadhi vifaa ambavyo havijagawiwa raia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…