magaidi wa hamas

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hamas zaidi ya 10 waangamizwa kwenye jaribio la kuteka askari wa Israel

    Shambulizi lililoratibiwa na Hamas kwenye Kituo cha IDF Karibu na Khan Yunis IDF ilithibitisha kuwa Hamas walianzisha shambulio lililoratibiwa kwa kutumia bunduki na vifaru, na hivyo kufanikiwa kuruka kizuizi cha karibu na Khan Yunis. Askari mmoja kutoka Brigedi ya Kfir alijeruhiwa vibaya na...
  2. Marwan Barghouti anayetumikia kifungo kwa Ugaidi anatarajiwa kuwa kiongozi wa Wapalestina baada Magaidi wa Hamas kufurushwa Gaza

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hasira kutoka kwa Mamlaka ya Palestina. Barghouti, 66, ambaye amekuwa jela tangu 2004 baada...
  3. Magaidi wa Hamas huko Gaza wanaendelea kuteka nyara misaada inayopelekwa huko

    Magaidi wa Hezbollah wanaendelea kuteka nyara misaada ya chakula ambayo ilipaswa kuwafikia wananchi wa Palestina badala yake misaada hiyo magaidi hao wanaipeleka kwenye Mahandaki!!!
  4. Kwa uovu wanaoufanya Magaidi wa Hamas na Islamic Jihad hawapaswi kupewa nafasi ya kuishi katika duniani hii!!!!

    VIDEO ya kuhuzunisha ya sekunde 40 inayomuonyesha mateka wa Israel Evyatar David, akionekana kuwa na mifupa na dhaifu ndani ya handaki akilazimishwa kuchimba kaburi lake mwenyewe. Video hii ilitolewa kwa idhini ya familia yake, baada ya Hamas kuchapisha kanda hiyo bila ridhaa yao. Familia...
  5. Uingereza yapanga Kutambua Taifa la Palestina Septemba Ikiwa Israel Haitasitisha Vita Gaza

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
  6. H

    Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  7. Magaidi wa Hamas wajaribu kumteka askari wa Israel huko Khan Younis na kushindwa!!!

    Askari wa akiba aliuawa huko Khan Yunis baada ya kuhangaika na magaidi waliojaribu kumteka nyara. Kulingana na uchunguzi wa awali, wakati wa operesheni za IDF huko Khan Yunis, magaidi waliibuka kutoka chini ya ardhi na kushambulia kitengo cha IDF. Wakati wa shambulio hilo, magaidi hao...
  8. Ngome kongwe ya magaidi wa Hamas huko Rafar yaangamizwa

    https://x.com/vividprowess/status/1941863828561498329?s=61
  9. Israel yadaiwa kutoa Silaha kwa Yasser Abu Shabab, Kiongozi wa Wanamgambo wa Gaza

    Kiongozi mpya wa wanamgambo huko Gaza, Abu Shabab, anapinga kundi la kigaidi la Hamas katika eneo hilo na anajitahidi kutoa makazi na chakula kwa Wagaza wanaoteseka kutokana na vita vinavyoendelea. Ingawa amekataliwa kufanya kazi na Israel, anaiambia @peacecomms katika taarifa yake ya kwanza...
  10. Yasser Abu Shabab Na ukoo wake sasa wamewageuzia mitutu Magaidi wa Hamas!!!

    Kuna msemo wa waingereza wanasema Divide and conquer? na wengine wanasema “Divide and Rule” Kugawanya na kushinda au”Kuwagawanya na kuwatawala ”Rafah sasa iko mikononi mwa watu ambao wanawapinga Hamas katika eneo hilo huku wakiungwa mkono na Israel. Mitandao ya kijamii ya Israeli inajaa picha...
  11. Magaidi wa Hamas waanza kumeguka!!

    Yasser Abu Shabab, ambaye anajulikana waziwazi huko Gaza kwa kuipinga Hamas, anatoa wito kwa wananchi wa Gaza kuja kuishi chini ya ulinzi wa jeshi la Israel huko Rafah. Ikiwa atafaulu, itakuwa pigo la kifo kwa magaidi wa Hamas IDF shikilieni hapo hapo na safari hii mpaka wanyooke tu!!
  12. Magaidi wa Hamas wapata kipigo kikali

    Magaidi wa Hamas wanaendelea kupigwa kila uchao baada ya maficho yao kuangamizwa. Ni kawaida ya Magaidi kujificha kwenye maeneo ya raia.
  13. Magaidi wa Hamas wanaangamizwa bila huruma huko Gaza!!!!

    Magaidi wa Hamas wanaendelea kuangamizwa huko Gaza!!! Na Gaza inazidi kusawazishwa na muda si mrefu itakuwa sawa!! https://x.com/vividprowess/status/1928494110580896113?s=61 https://x.com/vividprowess/status/1928494110643818982?s=61
  14. Magaidi wa Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza

    Hamas yaua raia 5 wa Gaza waliovamia ghala la misaada huko Gaza Mapema leo, mamia ya wakaazi wa Gaza walivamia ghala kubwa katikati mwa Gaza, linalotumiwa na Hamas kuweka akiba ya chakula kingi, yakiwemo magunia ya unga. Ghala hilo lilikuwa likihifadhi vifaa ambavyo havijagawiwa raia kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…