Kuna kifo cha kizembe cha mwanafunzi wa kidato cha 6 huko Jkt kambi ya Itaka Songwe(zamani Mbeya).
Watoto wamepelekwa kwenye kubangua mahindi kwenye mashine mbovu,na mbaya zaidi operator akaondoka na kuwaacha wao peke yao. Badae mikanda ikatoka na kumvutia kwenye mashine na kumchanachana mpaka...