mafisadi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Dkt. Magufuli aliwahi kusema hata CCM kulikuwa na mafisadi wakubwa

    Kwa kauli alizozitoa mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mwanza jana kwenye kipindi cha Star TV Big Agenda bila shaka ni kweli kabisa ndani ya CCM kulikuwa na mafisadi ya kutisha na Magufuli aliyabananga vizuri na sasa yameanza kupata nafuu mbele ya rais Samia. Ikumbukwe baada tu ya kuingia madarakani...
  2. JamiiForums Tanzania Bagamoyo ilishaporwa na mafisadi; mradi wa bandari utakuwa ni neema kwao

    Ukienda maeneo ya Mbegani ambapo ndio eneo linalooendekezwa kujengwa bandari hutawakuta wenyeji tena bali mafisadi waliojimilikisha ardhi walizonunua kwa bei ya chini ili wasubiri fidia. Huo mradi sitegemei kuwafaidisha wazawa wa bagamoyo bali mafisadi waliokimbilia huko.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…