mafao nssf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeamua kuacha kazi nilikuwa kipindi cha Probation. Je, naweza kuchukua Mafao NSSF?

    Wakuu habari, Nilikua niko katika kibarua mahala on probation period, sasa nataka niachane nao maana wanazingua, ila nataka nichukue mafao yangu nssf ambayo ni LAKI TISA tu(900,000). Je, itawezekana wakuu kuchukua hizo pesa maana nasikia mpaka termination letter, but mimi niko ktk probation...
  2. Ushauri kwa wanaotunza pesa za wafanyakazi wa serikali/Binafsi-pesa za kustaafu (NSSF/PSSF)

    Huu ni Ushauri tu ila najua kwasababu mtu mweusi ni mnyimina mbinafsi hamtaupokea kwasababu unagusa maslahi ya fedha Ni hivi, Wafanyakazi wa serikali/binafsi wanakatwa pesa yao kila siku kwa ajili ya mafao baada ya kustaafu ila ukweli ni kwamba pesa ile haizalishi chochote kile zaidi ya...
  3. Tulionyimwa mafao NSSF, tufungue kesi mahakamani

    Maumivu si mpaka ukatwe na wembe bali ukatili wa NSSF kukataa pesa yako baada ya kuacha sekta binafsi na kujiunga na serikali. Sawa sheria walizoweks nizakinyonyaji kwa mazingira mengine. Basi kama inashindika wahamishie pesa za mwanachama kwenye mfuko mwingine aliyohamia. Sekta binafsi...
  4. Mafao toka hazina huwa ni kiasi gani kwa wastaafu waliofanya kazi TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA?

    Habari wakuu, Wahenga wanasema kuuliza sio ujinga. Kuna ndugu yangu mmoja mme wake amefanya kazi kati ya taasisi hizi: TBS, EWURA, TRA, TTCL, TCRA na TPA? Amejaribu kuniuliza hawa watu hulipwa mafao kiasi gani na hazina baada ya kustaafu. Kama kuna mtu anataarifa naomba nijuze.
  5. M

    NSSF ituruhusu tulioajiriwa serikalini kuchukua mafao yetu NSSF tuliojiwekea wakati tukifanya kazi private

    Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
  6. B

    Naomba kufahamu utaratibu wa pensheni kwa watumishi wa umma hasa Mawaziri baada ya kutenguliwa nafasi zao

    Masaa machache yaliyopita, nimeona baadhi ya mawaziri waandamizi na wakurugenzi wakitenguliwa nafasi zao. Swali langu: Je, viongozi wa umma nao huwa wanalipwa fao la kukosa ajira kwa kipindi cha miezi 6? Baada ya miezi 6 hawalipwi chochote hadi baada ya miezi 18 ndipo huchukua pensheni zao...
  7. DOKEZO Mkuu wa wilaya mstaafu anaambiwa ajiongeze ili apewe mafao yake aliyofuatilia kwa miaka kumi sasa

    Heshima kwenu wakuu, Nimekua shahidi wa michango mizuri humu inavyo fika sehemu husika na kusaidia watu mbalimbali. Niende moja kwa moja kwenye mada. Nina mzee wangu amestaafu kazi serikalini takribani miaka kadhaa iliyopita (zaidi ya kumi). Alikua Mkuu wa Wilaya (Wilaya tofauti tofauti kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…