Nimekua nikifikiria jambo hili kwa muda.
Kuna watu ambao zamani walikuwa wanawaambia watu kila kitu wanachopanga kufanya kama biashara, ujenzi, kazi wanayoomba, miradi wanayoandaa na hata mipango ya maisha. Lakini baada ya muda wanaamua kukaa kimya, wanaacha kuelezea kila hatua ya wanayopitia...
Mu hali gani!
Kunamitazamo mingi kuhusu suala la mafanikio ya mtu, lakini kwaujumla kufanikiwa nikufanikisha kutekeleza mipango na malengo tunayojiwekea katika maisha.
Lakini asilimiakubwa ya watu hushindwa kufanikiwa kwasababu zifuatazo;-
Kwanza
Kutojiwekea malengo au kupoteza focus ya...
Wakuu hebu fungukeni ni miaka mingapi upo kwenye biashara na je, umefanikiwa kutoboa kibiashara? Na, ulifanyaje kufika hapo.
Nina kaduka kangu mwaka wa tano huu sioni dalili ya kutoboa japo sijakata tamaa ila changamoto ni nyingi sana ikiwemo madeni na mtaji kiduchu bado napambana. Je, wewe...