Mkimbiaji wa marathon kwa wanawake Jackline Sakilu jana alifanya kilichofanyika na mwanariadha Mtanzania mwingine John Stephen Akhwari katika mashindano ya marathon katika Michezo ya Olimpiki mwaka 1968 huko Mexico City.
Sakilu, akiwa na Mtanzania Mwenzake Failuna Matanga (huyu alimaliza wa...