Akizungumza na waandishi wa habari leo Septemba 25, 2025 Wakili Peter Madeleka ambaye pia ni Mgombea Ubunge Jimbo la Kivule Kupitia Chama cha ACT Wazalendo ameelezea muenendo wa Mahakama nchini inavyoendeshwa kinyume na katiba na kutotoa haki kwa wananchi
" Hakuna utu kama hakuna haki...