Zaidi ya wanafunzi 2000 Ilemela Mwanza wanakaa chini
Zaidi ya wanafunzi 2000 wa shule za msingi katika wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, wanakaa chini kutokana na shule hizo kukabiliwa na ukosefu wa madawati.
Wanafunzi 600 ni kutoka shule mbili za Kayenze na Chasubi ambao wanakaa chini kutokana...