madalali wa dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Je bei za nyumba na ardhi hapa Tanzania zina akisi thamani halisi au kina "ujanja ujanja" ndani yake??

    2 bedroom furnished appartment inauzwa Westland, Nairobi kwa KES 9.5M sawa na 190M za kitanzania. Vyumba viwili vya kulala, sebule, dining, jiko, 3 bathrooms, laundry area na balcony. Yani kwa 190M unakabidhiwa funguo na vyote vilivyomo. Kwa wanaofahamu Westland ni prime area kama Upanga au...
  2. JamiiForums Tanzania KERO Je hakuna namna ya kuwadhibiti madalali?

    Anaandika Upete Kiwanja Milioni 50 Square Meter 400 ✍️ Mwenye Kiwanja anataka Milioni 40. Dalali anaongeza Milioni 10 ✍️ Kule kwenye UTALII nako wameingia Madalali😳🙌 Tuandae mpango kazi mzuri haraka wajameni…! Miaka minne ijayo Ardhi hatutagusa bei kwa mwendo huo✅ Sio mbaya tukaangalia na...
  3. JamiiForums Tanzania Nini Mantiki ya Kurudi kwa Dalali Kwanza Kabla ya Kumalizana na Mwenye Nyumba?

    Habari gani ndugu zangu? Nahitaji kufahamu, unapotafuta chumba/nyumba ya kupanga, kuna mantiki gani ya kuonana na Dalali kwanza hata kama umeshaonana na mwenye nyumba? Sijui utaratibu kwa mikoa mingine, lakini kwa Dar es salaam unaweza kuonana na mwenye nyumba, na akakwambia kabisa vyumba/...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…