machinga kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wamachinga barabara ya Soko la Kariakoo wapewa wiki mbili kuondoka

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka. Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
  2. Machinga wa Mwanza mmepoa sana, si Makoroboi wala Langolango. Njooni Dar mjifunze amsha amsha

    Business is not for everyone. Wafanyabiashara machinga wa makoroboi na langolango mmepoa sana, soko zima husikii kelele za kuita wateja wala zile spika za amsha amsha. Utadhani uko supermarket, hata supermarket kuna music laini hupigwa. Hakuna kubembeleza wala kumshawishi mteja, hakuna kusema...
  3. Orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo yatolewa

    Shirika la Masoko ya Kariakoo linautangazia umma orodha kamili ya majina ya wafanyabiashara wenye sifa na vigezo vya kurejeshwa sokoni Kariakoo baada ya ujenzi wa soko jipya na ukarabati wa soko kuu kukamilika. Taarifa hii inapatikana katika tovuti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI www.tamisemi.go.tz...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…