mabavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Uongozi ni akili si mabavu, hongera Rais Samia!

    Nimependezwa jana na hotuba ya Jana ya Mapendekezo ya Bajeti Kuu ya 2022/2023. Bajeti inekaa vizuri sana. Nampongeza Mh Mwigulu Nchemba, Waziri wa Fedha. Hakika serikali imeonesha nia ya kubana matumizi kwa akili kubwa sana. Jana ndio nilijua hivi kumbe Kuna watu wanalipwa mishahara ambayo...
  2. JamiiForums Tanzania SoC01 Je, tufumbe macho au tutafute suluhu la machinga?

    JE, TUFUMBE MACHO AU TUTAFUTE SULUHU LA MACHINGA? Labda niseme kwamba mimi ni machinga kwa style yangu ya biashara, na niseme wazi kwamba nimefanya umachinga tangu nikiwa shule ya msingi au niseme kabla sijaanza shule ya msingi. Maisha yangu, ambayo ni maisha ya machinga wengi, yalikuwa ni...
  3. JamiiForums Tanzania Watumishi 6 waliofukuzwa kazi Halmashauri ya Siha wamwangukia Rais Samia, waomba iundwe tume huru

    Watumishi 6 waliofukuzwa kazi katika halmashauri ya Siha mkoani Kilimanjaro wamemwomba Rais Samia Suluhu Hassan kuingilia suala lao na kisha kuunda tume huru kuchunguzwa namna walivyofutwa kazi kwa madai kwamba kuna uonevu mkubwa ulifanyika. Mbali na kufutwa kazi pia wameiangukia tume huru ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…