Habari.
Mimi ni mtumiaji mzuri wa mabus ya masafa marefu kuelekea Mbeya.
Hapo awali nilikuwa naishi Moshi na Arusha . Kwa kweli usafir wa kutoka Kaskazin kwenda Mbeya ulikuwa wa tabu tupu, kulikuwa na gari za SUMRY ( Mbeya express), Hood na baadaye Arusha express lakin zote hazikuwa na ubora...