mabasi ya ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Chato: Mahudhurio hafifu mkutano wa Kampeni za CCM. Malori na mabasi ya CCM yamejaa uwanja Muungano

    Bila kusombwa na Mabasi na Malori Mikutano ya CCM haiwezikupata watu Uwanja wa Muungano stand ya zamani umejaa watoto wa shule na akina Mama
  2. Sio kwa ubaya lakini nashauri CCM yale mabasi yenu bora myageuze kuwa mwendo kasi

    Najua hii posti akiona ndugu yangu Lucas lazima atabubujikwa na machozi ya furaha.. Lakini kwa jinsi mwaka huu ulivyo baada ya Chadema kujitoa kwenye uchaguzi Sisiemu hakuna wa kushindana nao.. Hizo gharama ikiwemo na yale mabasi ni bora kuyapeleka kwa wananchi tu.. Sioni ulazima wa kutumia...
  3. GE2025 Msafara wa mabasi ya CCM takribani 20 yatinga Chamwino kumsindikiza Rais Samia, sio kodi zetu kweli hizi?

    Nimeuona msafara ambao wa mabasi takribani 20 yakimsindikiza Rais Samia akienda kuchukua fomu ya urais Ofisi za Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC). Aloooo, kweli kodi za wananchi zimewafaidisha sana hawa CCM! Naandika haya nikibubujikwa na machozi ya huzuni:catJAMCRY::catJAMCRY:
  4. PreGE2025 Sitashangaa kukuta yale mabasi ya CCM na pikipiki za Samia ni kati ya vitu vilivyotuponza kukosa misaada ya Marekani

    Wakuu, Trump aliahidi kusitisha misaada kwa nchi za Afrika pindi atakapoingia madarakani kutokana na kile kinachosemwa matumizi mabaya ya viongozi wa Afrika ambao wanatumia misaada hiyo kwa shughuli zao binafsi. Sasa amekalia kiti utekelezaji umeanza, misaada yote imesitishwa kwa miezi 3...
  5. Mabasi ya ccm yamewakera watanzania wameona ni kufuru

    Yale mabasi ya CCM ya rangi ya kijani yamewakera mno watanzania kwani wao wametafsiri ni kufru na upotevu wa Hela zao (watanzania wanaamini Ile ni Kodi yao na sio vyanzo halali vya ccm) kiufupi maskini wa nchi wanaona mmewaringishia Tena January hii wakati wao hawana ada za watoto wao.
  6. Kuna uhaba wa mabasi ya mwendokasi halafu tunaona CCM mnashusha mabasi mapya ya chama, kuweni na aibu

    CCm ndio Serikali yenyewe Kitendo cha awamu hii ndani ya miaka 5 mmeshindwa kuwaletea wananchi mabasi ya mwendokasi watu wanapata mateso alafu nakuja kuona yutong za ccm kma 30 na ushee zimeshuka hapo bandarini kama kutakuwa na tume huru basi huu mkoa wa Dar hata jimbo moja hamuwezi chukua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…