Hey people good morning,
Uzi huu ni maalumu kwa wenye matamanio ya kuacha tabia za "hovyo" na kuanza tabia nzuri na zenye manufaa binafsi,na jamii
Binafsi kuanzia leo tarehe 9 June, saa 06:00 asubuhi
Nimeamua kuacha kutumia skanka rasmi
Nimeamua kujaribu hadi kuweza kumrudia Mungu mazima...