Waandamanaji nchini Madagascar wamekataa kushiriki mazungumzo yaliyotangazwa na Rais Andry Rajoelina Oktoba 8, 2025, wakimtuhumu kiongozi huyo na serikali yake kwa vitendo vya ukandamizaji.
Rais Rajoelina alikuwa ametoa wito wa kufanyika kwa “mazungumzo ya kitaifa” akiwashirikisha viongozi wa...