maandamano december 9

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. PostGE2025 Maandamano ya kimya na changamoto kwa serikali: Samia na genge lake la wahuni wanatakiwa kujiuzulu

    1. Lengo Kuu: Kusimamisha Shughuli za Uchumi Kwa mujibu wa hoja zinazoibuka mitandaoni, moja ya malengo ya kundi kubwa la wananchi lililokuwa likiunga mkono maandamano haya ni kuathiri mzunguko wa uchumi wa jiji la Dar es Salaam jiji ambalo ndilo moyo wa uchumi wa Tanzania. Kwa mtazamo wao...
  2. W

    Hivi yule OCD aliyesema bodaboda wasiuziwe zaidi ya lita mbili za mafuta, uchunguzi umefikia wapi?

    WAkuu kuna yule OCD wa Chunya aliyeelekeza kuwa bodaboda na Bajaj wasiuziwe mafuta zaidi ya lita mbili kisha polisi wenzie kuja kumakana na kuanzisha uchunguzi. Je, wamefikia wapi? Mana jambo ndiyo lina happen kesho. Pia soma PostGE2025 - Polisi Chunya: Kuelekea Desemba 9, Bodaboda na Bajaj...
  3. Je, ni wazi kuwa CHADEMA wanaunga mkono maandamano ya Disemba 9?

    Hakuna chama cha upinzani hapa nchini kinachokubalika kama CHADEMA hii. Ingekuwa ya Mbowe watu wangesema kuna mazingaombwe. Tayari wameshaikataa tume isiyohuru iliyojaa makada wa CCM inayotuhumiwa na wqnachi kufisadi mali za umma huku familia za makada wake wakinufaika na ufisadi. Je, hii ni...
  4. PostGE2025 Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9

    CHAMA cha Madereva wa Bodaboda na Bajaji Mkoa wa Tanga (UWAPIBATA)kimewapiga marufuku wanachama wake kutoshiriki au kujihusisha na maandamano yanayotajwa kufanyika Desemba 9. Akitoa tamko la makubalinao hayo kwa waandishi wa habari, Mwenyekiti wa Chama cha Bodaboda, Tanga Mohamed Chande amesema...
  5. Walishatumia kila aina ya vitisho, hakuna cha kuogopa tena

    Ndugu zangu naendelea Kuwakumbusha, Kila Mmoja anao wajibu, DEC 9 asionekane MTU kubakia nyuma. Ni kwanini Ubaki wakati Umeuliwa Dada,Kaka ,Mama, Mjomba, Baba, Mpenzi ,Mume ,mtoto, Babu??? Kwann Ubaki???? Tutatoka wote Kwa Wingi wetu,alafu maandamanao ya Dec 9 YATAKUJA tofauti kabisaaa .
  6. Tunaitaka Tanganyika yetu; 9, December tuwashinikize wahuni watuachie Tanganyika yetu

    Mapambano ya kutafuta uhuru wetu kamili watanganyika yasipoozwe na kitu chochote. Tujaribu kuweka kando yale tunayoweza kuyaweka kando ili tulipiganie Taifa letu, ili Kila mtanganyika aishi kwa amani katika nchi hii bila hofu. Tarehe 9, December tusipotoka Ili kuwashinikiza wahuni ili...
  7. Ni haki yako kijana kuandamana, nenda kaandamane Disemba 9, ila jua tu mama yako atalia mpaka kuzimia akikulilia wewe shujaa uchwara

    Kijana wa hovyo akinaswa huwa naburudika sana. Kijana ambaye akili zake zote amemkabidhi Mange Kimambi hana faida. Ni mharibifu wa tunu za Taifa. Mkaandamane tu msihofu kwakuwa mnatimiza haki yenu ya msingi. Kile ambacho moyo wako unataka fanya. Na tarehe 9 Disemba kaandamane, ila jua tu mama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…