maandamano dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Day 3: Tunaelekea Ikulu. Jamani njooni, njia ni nyeupe na tupo wa kutosha hakuna wa kutuzuia. Chakula kitakuwepo

    Mlio dar maelfu ya wananchi wanaelekea kuchukua Ikulu yao jitokezeni kwa wingi tuchukue nyumba yetu kwa mafisadi.
  2. GE2025 Maombi ya kushika Bendera ya Tanzania ili kuiombea taifa kuelekea MO29

    Baadhi ya picha za waumini wakiendelea kuomba Mungu kuelekea siku muhimu ya uchaguzi Oktoba 29 lakini na kile kinachotajwatajwa kama MO 29. Umetenga dakika ama saa ngapi kuliombea taifa kuelekea oktoba 29? Mao
  3. GE2025 RC Queen Sendiga: Hatutovumilia wala kuwaacha salama wanaopanga kuvuruga Uchaguzi Mkuu

    Mkuu wa Mkoa wa Manyara Queen Cuthbeth ametoa onyo kwa wananchi wanaopanga kupanga kufanya maandamano siku ya Oktoba 29 akisema: "Kama serikali tunawajibu wa kukemea mapema, yeyote ama kundi linalopanga kufanya vurugu kwa kujishawishi mwenyewe ama kushawishiwa kwa makusudi ama kwa bahati mbaya...
  4. PreGE2025 Bodaboda, Bajaji na Wajasiriamali Dar wagomea maandamano CHADEMA

    Baadhi ya wanachama wa Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali Jijini Dar es Salaam wametangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa...
  5. RC Chalamila avunja ukimya Matukio ya Utekaji, Mauaji ya Watu na Maandamano Dar es Salaam

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, akizungumza katika ziara yake Temeke ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo na kuzungumza na wananchi hapo jana Oktoba 1, amevunja ukimya kuhusu matukio ya utekwaji wa watu na maandamano yaliyofanyika na CHADEMA Septemba 23 katika jiji hilo...
  6. Muandamanaji wa Kike adakwa na Polisi Magomeni akifanya maombi

    Tukio la mmoja ya waandamanaji wa kike ambaye jina lake halijafahamika, akamatwa na Polisi alipokuwa akifanya maombi, eneo la Magomeni, jijini Dar es Salaam. Septemba 11, 2024 Mwenyekiti wa Chadema, Mbowe alitangaza kufanyika maandamano ya kulaani matukio ya watu kutekwa na kuuawa, akiwemo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…