Mimi binafsi naona kama maandamano ya amani ni ujinga na kupoteza mda.
Africa huwezi mtoa mtawala Kwa maandamano ya kubeba mabango naamini Desemba 9 watakufa watu na hamna kipya kitakachotokea yaani adui anabeba bunduki wewe unabeba bango.
Eti ukamtoe sifanyi huu ujinga mimi watu wamekufa kama...