maafa mafuriko

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. RC Mara kumuezekea nyumba bibi aliyepata maafa ya nyumba yake Kuezuliwa na Upepo mkali

    Kufuatia maafa makubwa ya Kaya Takribani 319 Kuezuliwa na Upepo katika Manispaa ya Musoma Mkoani mara Bibi Evelyn Msuba nimiongoni mwa wahanga hao amemuomba Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi kumasaidia kulekebisha Nyumba yake ili kuondoka na mateso anayoyapitia kwa sasa. Baada ya ombi...
  2. Dereva Mzembe asababisha vifo vya watu 10 baada ya lori kusombwa na maji kwenye mto uliofurika

    Ingekuwa ni Tanzania haki ya Mungu huyu Dereva wa hili Lori ningegawana nae Majengo ya Serikali kwani ni mpumbavu sijapata kuona. Yaani anaona kabisa mto umefurika na watu wa pande zote mbili wanamuonya asilipitishe lori lake ambalo pia lilikuwa limebeba nadhani mchanga na matofali ila kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…