ni dhahiri sasa Rusia wameamua kudeal na Soft targets.
makombora zaid ya 80 yalio rushwa hovyo hovyo mengine yameanguka barabarani mengine nyikani mengine kwenye majengo ya raia mengine yamedunguliwa.
haya makombora hata nusu yake yangepiga mstar wa mbele nafkir huenda wangekua wamefanya kitu...