Kwa sasa Mpina na ACT-Wazalendo wamefungua shauri lingine Mahakama Kuu, kupinga kuenguliwa kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu 2025.
Pia soma > Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
Maombi hayo namba 23617 ya 2025...