Habari Wanabodi!
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Kama wiki tatu zilizopita niliunganishiwa umeme na TANESCO, ila kumekuwa na tatizo la low voltage hasa kuanzia saa moja usiku hadi saa tano au sita usiku ndiyo unalejea kwenye voltage ya kawaida.
Nyumba ilikuwa na wire ring imekaa muda mrefu...