Karibuni Ukonga'
-
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania ambapo leo maswali ya dodoso kwa shahidi namba tatu Aman Sam Golugwa yaliendelea
Alichodai Tundu Lissu Mahakamani kuwa amewekwa pamoja na wafungwa waliohukumiwa kunyongwa ni jambo ambalo lingesababisha Mkuu wa Gereza Ukonga kuondolewa na kama siyo Waziri wa Mambo ya ndani kuondolewa basi Mkuu wa Jeshi la Magereza alipaswa kujiuzulu.
Uvunjaji wa Ibara ya 13 ya Katiba yetu...
โพTanzania Prisons Services causes unnecessary confusion after 24-hour silence on his whereabouts
โพAuthorities finally confirm that the CHADEMA leader has been shifted to Ukonga prison from Keko prison
โพTreason charges against the main opposition leader in an election year, and...