lissu gerezani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Heche: Nimezuiwa kuonana na Mwenyekiti Tundu Lissu Gereza kuu Ukonga kinyume cha sheria

    Kupitia ukurasa wa Instagram na (X) zamani Twitter anaandika John Heche ambaye ni makamu Mwenyekiti CHADEMA "Nimetoka Gereza la Ukonga kumuona Mwenyekitiโ€ฆ Nimefanya kila jitihada kuweza kumuona nimezuiliwa kinyume cha sheria na utaratibu uliopo. Mfungwa au mahabusu anaweza kutembelewa na...
  2. PostGE2025 Magereza yajibu malalamiko ya CHADEMA kuzuiliwa kumuona Lissu gerezani

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema viongozi wake wamezuiwa kumwona mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu aliyepo katika Gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam. Lissu yupo mahabusu kwa kesi ya uhaini inayomkabili kwa takriban miezi minane sasa, tangu alipokamatwa Aprili 2025...
  3. K

    GE2025 Mungu kawaweka Heche na Lissu gerezani kuonyesha ukweli

    Mungu ana mbinu ambazo mwanadamu hawezi kuzielewa. Sasa hawawezi kusingizia kuchomwa kwa nchi viongozi wa Chadema. Lakini hawawezi kusingizia chama ambacho kimefungiwa wakati wa uchaguzi na walikuwa hawafanyi hata mikutano. Kibaya zaidi sasa serikali inataka kusingizia wakenya na watu ambao...
  4. Swali chokonozi: Pamoja na ubabe wa Magufuli, kwanini hakuwai kumuweka Lissu Gerezani kwa njia ya shortcut?

    Magufuli alimfungulia kesi nyingi Lissu na alijua Kuna jinsi hawezi toboa ndo maana vijana kama Bโ€ฆE wakaamua wampige risAsi maana hakuna jinsi , Lissu Ana ushawishi mkubwa mno akiwa anajenga hoja! 1. Magufuli pamoja na ubovu wake mwingine alikuwa na akili sana, hukati tawi la mti ukidhani...
  5. GE2025 Yericko Nyerere: Mbowe alienda kumuona Lissu gerezani zaidi ya mara tatu

    Wakuu Yericko Yohanesy Msambila Mkana Nyerere, mwanachama wa CHAUMMA, anasema Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA, Freeman Mbowe, alienda mara tatu gerezani kumuona Mwenyekiti wa sasa, Tundu Lissu. Je, alikuwa anaenda kumshawishi Lissu alegeze kamba?
  6. Tetesi: Humphrey Polepole kumtembelea Tundu Lissu gerezani. Je wataenda kuteta nini?

    Nikiwa mapumzikoni Dar niliamua kutembelea eneo la Kisutu. Nikapita eneo ulipo mgahawa maarufu wa Zahir Nimekuta wazee wakijadili juu ya hii ziara ya Polepole kwenda kumjulia hali shujaa mwenzake. Je watajadili nini?
  7. E

    GE2025 Heche: Mabadiliko yakipatikana tutampelekea fomu Lissu gerezani na atatoka akiwa rais (video)

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche amesema kama mabadiliko wanayoyadai yatapatikana kabla ya uchaguzi na endapo Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu atakuwa bado anashikiliwa rumnande, watampelekea fomu ya kugombea uraia na atashinda akiwa gerezani. Ameyasema hayo Julai 11, alipokuwa...
  8. Jeshi la Magereza lipunguze watu wanaomkaribia Lissu gerezani na Mahakamani ili kumkinga na tetesi za sumu, hata watu wake wa karibu wasimsogelee sana

    Chadema na watu wao walipitisha tetesi eti kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu ndugu Lissu. Hizi ni tuhuma mbaya. Nilitarajia watu wanaomsogelea Lissu Mahakamani wawe regulated na vyombo vya dola. Nasema hivyo kwa sababu inawezekana hao wanaojichekesha hapo Mahakamani wakijifanya wanajuana na...
  9. PreGE2025 Wakili wa Lissu Jebra Kambole aweka wazi kuhusu ugumu wanaopitia mawakili kumuona Lissu gerezani

    Wakili wa Tundu Lissu Jebra Kambole kwa niaba ya mawakili wengine wanaomtetea amesema wamekuwa wakipta ugumu wa kuonana na kufanya mazungumzo ya faragha na kushauriiana na mteja wao pindi wanapokwenda kumtembelea Gereza la ukonga. Malamamiko hayo yalitolewa pia na Lissu kuwa hapati uhuru wa...
  10. Mlindeni Tundu Lissu ikiwezekana kwa Sasa awe anaonana na ndugu tu na sio mtu mwingine pale gerezani

    TISS nawaagiza acheni mzaha na ulinzi na usalama wa watu potential nchii hii itaangukia kwenye machafuko!! Mlindeni Tundu Lissu ikiwezekana kwa Sasa awe anaonana na ndugu tu na sio mtu mwingine pale gerezani. Watu watasimama kuhesabiwa acheni kucheza na usalama wa Taifa. Hawa washamba wa...
  11. W

    PreGE2025 Heche: Hata mimi hawataki nikamuone Lissu gerezani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na maendeleo Bara CHADEMA John Heche akiongea kwenye kongamano wagombea serikali za mitaa 2024. Kongamano hilo lililofanyika ukonga jijini Dar es Salaam lakuwakutanisha wanachama wote wa mkoa wa Dar es salaam kujadili ajenda mbalimbali zinazoendelea kwa...
  12. PreGE2025 Heche: Nimekutana na Lissu gerezani, amesema mapambano yaendelee

    Makamu Mwenyeliti wa CHADEMAB(Bara), John Heche amesema kuwa amekutana na Mwenyekiti wa Chama hicho, Tundu Lissu katika Gereza la Ukonga anakoshikiliwa na kiongozi huyo amewataka wanachana wa chama hicho kuendeleza mapambano. Lissu alikamatwa Aprili 12 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma na kisha...
  13. PreGE2025 Halima Mdee: Nitaenda kumuona Lissu Gerezani

    Mbunge wa viti maalum, Halima Mdee amesema ataenda kumuangalia Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lissu gerezani licha ya mambo yaliyojitokeza baina yake na chama hicho. Akizungumza akiwa jijini Dodoma jana, Mdee ambaye yeye na wenzake 18 walitimuliwa katika chama...
  14. ๐—Ÿ๐—ถ๐˜€๐˜€๐˜‚ ๐—บ๐—ผ๐˜ƒ๐—ฒ๐—ฑ ๐˜๐—ผ ๐—บ๐—ฎ๐˜…๐—ถ๐—บ๐˜‚๐—บ ๐˜€๐—ฒ๐—ฐ๐˜‚๐—ฟ๐—ถ๐˜๐˜† ๐—ฝ๐—ฟ๐—ถ๐˜€๐—ผ๐—ป

    โ—พTanzania Prisons Services causes unnecessary confusion after 24-hour silence on his whereabouts โ—พAuthorities finally confirm that the CHADEMA leader has been shifted to Ukonga prison from Keko prison โ—พTreason charges against the main opposition leader in an election year, and...
  15. Ina maana weekend yote hakuna mwana chadema aliyeenda kumtembelea mwenyekiti gerezani?

    Kipindi flani wakati Mbowe yuko gerezani na kesi yake ya ugaidi, ilikua haipiti siku mbili bila kuletewa feedback humu jukwaani kuwa wanachama kadhaa wa CHADEMA wameenda kumtembelea mwenyekiti gerezani na kawapa ujumbe flani waulete kwa umma. Sasa nashangaa zama hizi za Lissu, yuko gerezani lkn...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ