ligi

Ligi [ˈliɡi] (German: Liegen) is a village in the administrative district of Gmina Miłomłyn, within Ostróda County, Warmian-Masurian Voivodeship, in northern Poland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wapenzi wa soka tujifunze kuheshimu juhudi na uwekezaji wa vilabu vidogo, sasa hivi NBCPL sio lelemama. Muwe na adabu

    Timu dhaifu za mikoani msimu huu ni zile zinazocheza kimazoea mfano Namungo, coastal na Kagera Sugar. Timu kama Mashujaa Fc Pamba Prison Jkt Singida black stars Fountain gate Tabora Fc Hizi timu kwa sasa kwa observations zangu baada ya kucheza mechi kadhaa zimeingia kwenye mfuno mapema...
  2. JamiiForums Tanzania Simba haitachukua tena Ubingwa wa Ligi Kuu kipindi chote hiki

    Nawaambia sasa muelewe Yanga ni team kubwa na nzuri kipindi hiki cha Samia. Imekaa vizuri sana. Simba wasahau kabisa suala la kuchukua Ubingwa. It wont happen. Sababu Yanga wamesajili wachezaji wazuri awamu hii yote ya Samia na wataendelea kusajili ifanye vizuri zaidi. GSM WANAIPAMBANIA TEAM...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Ligi kama mmepanga Yanga awe bingwa Mara Mia msisumbue watu

    Lile ni bao dhahiri, kama Yanga ndio wangefungwa halaf ndio kichwa kile wamepiga wao lazima ngoma ingewekwa kati, Yanga wasifungwe au kutoa sare wao nani
  4. JamiiForums Tanzania HIVI MTU UNAWAZAJE KUSHABIKIA TIMU MBILI KWENYE LIGI MOJA

    Huwa najiuliza hivi mtu unawezaje kushabikia mpira timu mbili kwenye ligi Moja Kuna jamaa Huku anashabikia Manchester united na arsenal hivi hiki kitu kinawezekanaje aisee maana jamaa na jeze za Kila msimu ananunua za man u na arsenal
  5. T

    JamiiForums Tanzania NIONAVYO: Michezo ya ligi NBC baadhi kuchezewa Amani stadium, Bodi ya ligi sio wa kulaumiwa:

    Kumekuwa na songombingo kuhusu baadhi ya Michezo ya ligi ya NBC Bara kwenda kuchezewa katika uwanja wa Amani Zanzibar. Mjadala umekuwa ni mpana. Suala hili lilianza pale Simba walipokuwa wanatafuta uwanja wa kuchezea baada ya Lupaso kufungwa na Simba kutotaka kutumia uwanja wa Azam Chamazi...
  6. JamiiForums Tanzania Napendekeza ligi yetu iitwe SOKALIGI.

    Muda mrefu nimekuwa najiuliza futiboli yetu haiweji kupata utambulisho wake kama La Liga, Seria A, Bungesliga n.k.? Nimepata wazo hili na napendekeza jina la ligi yetu ya futiboli liwe "Sokaligi", ili kuepuka kubadilibadili majina kama Vodacom PL au NBC PL. Naomba kuwasilisha.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Simba asiyesikia la mkuu huvunjika guu, mjiandae tu kisaikolojia ligi kuu na mashindano ya kimataifa sio lelemama!

    Tumeona Leo vijana wenu Wenye umri mdogo wakicheza mechi ya kirafiki na al hilal ya Sudan, tumeona timu yenu kimbinu na kiufundi ilivyo! Al hilal awa wamepungua ubora wao kwa kiasi kikubwa sana ukilinganisha na al hilal Ile iliyocheza na yanga msimu juzi ikiwa ya moto ikiwa na vijana wakina...
  8. JamiiForums Tanzania Weka hapa uchambuzi wa kitaalamu kuhusu ligi yetu.

    Nimeona Kuna haja wakati mwingine kuweka ushabiki pembeni na tuichambue ligi yetu kiweledi na kitaalam. Kwa mfano mara nyingi ni watu wachache sana hutueleza ni Kwa nini wanasema timu Fulani ni dhaifu ama imara. Wachambuzi kama Ramadhani mbwaduke huleta ladha ya uchambuzi Kwa kuwa hutumia...
  9. JamiiForums Tanzania Ligi ya Bashungwa Karagwe CUP 2024 yahitimishwa kwa kishindo, Rais Samia apewa tano

    Mashindano ya mpira wa Miguu ya BASHUNGWA KARAGWE CUP 2024 yaliyoanza mwezi Julai 2024 yamefikia tamati Agosti 25, 2024, kwa timu ya Nyabiyonza kuchukua ubingwa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya kuifunga timu ya Ndama kwa goli 2-1 Katika Uwanja wa Bashungwa uliopo Kayanga Wilayani Karagwe...
  10. JamiiForums Tanzania Hivi mnaonaje Serikali ikatumia Simba na Yanga kuwapa utajiri watanzania

    Yaani ipo hivi kwanini serikali isitumie ligi yetu ya mpira kutajirisha watanzania kwamba siku zicheze simba na yanga halafu zote zifungwe Kila mtu abeti mpunga wa kutosha hamuoni kama hapo tutakua tumepata utajiri watanzania yaani Kila mwaka mechi za mchongo ziwe 2 Kwa Kila timu unajua fikilia...
  11. JamiiForums Tanzania Nani bigwa Ligi kuu msimu wa 2024/2025 kati ya Simba Vs Yanga?

    Piga kura yako hapa
  12. JamiiForums Tanzania Wachezaji watatu wabovu wa Simba wako ligi ya tatu kwa ubora Africa

    Nikiangalia taarifa za usajili wa timu mbalimbali naona wachezaji watatu wa Simba wa msimu uliopita wamesajiliwa ligi ya Algeria, ligi ya 3 kwa ubora Africa, wawili kati yao katika timu yenye mafanikio zaidi nchini humo na mmoja kwa Mabingwa wa CAFCC 2022-23. Mwingine mmoja kauzwa Morocco...
  13. JamiiForums Tanzania Ligi yetu inazidi kukuwa ila TFF inashuka, naona inaisaidia Simba SC

    Simba SC imesajili wachezaji na kutangaza wachezaji wenye mikataba na timu nyingine lakini Simba haikukutwa na hatia yoyote mbele ya TFF. Ligi imeanza lakini Simba imepangiwa timu zenye migogoro ya usajili, Tabora united na Fountain gate kwenye mechi zake za awali kabla timu hizo hazijatatua...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Wachezaji wapya wa Simba wanahitaji muda ili kuzoea mazingira ya ligi yetu, tafadhalini sana mashabiki wa Simba

    Aziz Ki aliposajiliwa Yanga alikuwa akifanya mambo ya hovyo kabisa uwanjani hadi wachambuzi wakawa wanaeleza hasara za kiuhasibu kwa kumsajili kiungo huyo hatari kwa sasa hapa nchini, wengi walimdharau na kumponda kuwa hana uwezo na auzwe, Aziz Ki alikuwa anahitaji kuzoea mazingira ya soka na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kweli JKU ni ya kucheza Ligi ya Mabingwa?

    Yaani kisa tu ni haki ya Zanzibar kama nchi. Timu ya JKU inafungwa hata na timu ya mitaani kwangu Karagwe. Kwahiyo JKU inajiona kwasasa ipo juu kuliko Simba ambayo ipo Shirikisho. Timu ya JKU imeanza kinyonge Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kupoteza mchezo wake wa kwanza wa nyumbani dhidi ya...
  16. D

    JamiiForums Tanzania ligi msimu huu viwanja vibovu sana

    I couldn't watch the match between Singida Big Stars and Ken Gold due to the surroundings of the pitch. The environment is so bad that it's unwatchable. What does TFF do with the money they earn? kiwanja mama wanatembea wanauza maparachichi 🚮.
  17. JamiiForums Tanzania Timu za ligi kuu zitakazoshuka daraja 24/25

    1.JKT Tanzania 2.Fountain gate 3.pamba jiji
  18. JamiiForums Tanzania Pamba Jiji naiona kama vile ilikuwa ligi kuu misimu minne, wakikaza watasumbua sana

    Wakuu habari, Jana nimeangalia mtanange kati ya Pamba jiji na Prison Fc. Nilichokiona Beki wanajiamini sana kuliko hata Job au Mwamnyeto, wakiwa na mpira hawapigi hovyo hovyo na wwnajua kukaba Golikipa Amos Yona yupo njema anaokoa mpaka mashambulizi ya counter attack Winga zipo safi na...
  19. JamiiForums Tanzania Young Africans SC yashika mkia ligi kuu

  20. JamiiForums Tanzania Msimamo na Ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara 2024-2025.

    Ndugu wanamichezo wote! Leo 16-08-2024, Ligi Kuu Tanzania Bara inaanza. Nawaletea kwenu uzi maalumu utakaokuwa unawapa Updates za Msimamo wa Ligi ulivyo kila baada ya Mechi ndani ya msimu mzima! Mechi ya Leo 16.08.2024 Pamba 0- 0 Prison RATIBA YA GAME ZA 1st to 4th Round. Ligi ina jumla...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…