ligi kuu ya nbc

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. FT: Tanzania Prisons SC 0-1 Yanga SC | Ligi Kuu ya NBC | Kwa Yanga Hii Mtasubiri Sana

    Yanga kama kawaida imeendeleza makali na kubaki kileleni katika Ligi Kuu Bara baada ya kuichapa Tanzania Prisons ya Mbeya Goli 1-0 kwenye Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, leo Machi 12, 2026, hivyo kufikisha pointi 35 katika mechi 13. ============ Wakali, vinara, mabingwa wa kihistoria na...
  2. FT: Singida BS 1-2 Simba SC | Ligi Kuu ya NBC | Singida wametepeta!

    Matokeo: Singida Big Stars Goli: Mossi Ndumumwe 38 Simba SC Goli: Anicet Oura 07 Goli: Elie Mpanzu 85 📍 Uwanja wa Airtel, Singida Baada ya ushindi huo Simba kupitia ukurasa wao wa Instagram wameandika "Tumekula ndugu wa ile famili", ambapo timu hiyo imefikisha alama 27 katika michezo 12...
  3. Full Time: Yanga 5-0 JKT Tanzania | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025

    Yanga 5 VS JKT Tanzania 0 | Ligi kuu ya NBC | KMC Complex | 25 Februari, 2025 Mechi ipo live Salama zinatumwa Game over Yanga asimamisha Mnara wa 5G kwa JKT Tanzania Magoli ya Yanga yamefungwa na Mohamed Hussen, Depu, Dube, Mudathir na Shekhan
  4. Hafla ya Tuzo za TFF (TFF Awards 2024/25) kufanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba 2025

    Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba. Soma > Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025 Tarehe rasmi ya hafla hiyo, ambayo...
  5. TFF, TPLB na JUSTFIT wazindua Mpira rasmi wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/26

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB) na Kampuni ya JUSTFIT, leo Septemba 22, 2025 wamezindua rasmi mpira maalumu utakaotumika katika michezo yote ya Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026. Mpira huo, ambao umebuniwa na msanii na mbunifu maarufu Masoud Kipanya...
  6. Ratiba ya Ligi Kuu ya NBC Tanzania, Msimu wa 2025/26, Kariakoo Dabi ya kwanza kupigwa Desemba 13, Yanga wenyeji

    Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2025/2026 inatarajia kuanza Septemba 17, 2025. Mechi za ufunguzi zitakuwa ni KMC FC itacheza dhidi ya Dodoma JIJI FC pale KMC COMPLEX na Coastal Union dhidi ya Tanzania Prisons, Mkwakwani Tanga. Manguli wa soka la Bongo Simba na Yanga watakutana katika mchezo wa kwanza...
  7. Msimu mpya wa Ligi Kuu ya NBC kuanzia Septemba 16, 2025

    Ligi Kuu ya NBC kwa msimu wa 2025/2026 inatarajiwa kuanza rasmi Septemba 16, 2025, ambapo mashabiki wa soka nchini watashuhudia tena ushindani mkali miongoni mwa vilabu vikubwa na vidogo, huku kila timu ikisaka pointi muhimu kuanzia hatua za mwanzo za ligi hiyo maarufu nchini Tanzania. Sasa...
  8. Mchanganuo wa zawadi za fedha kwa Timu za Ligi Kuu NBC 2024/2025: Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba

    Mchangauo wa zawadi za fedha kwa timu shiriki za Ligi Kuu ya NBC - Tanzania Bara kwa msimu wa 2024/2025, ambapo kila timu itapokea zawadi kulingana na nafasi iliyoishika kwenye msimamo wa mwisho wa Ligi. Mambo yanaweza kubadilika kwa Yanga na Simba endapo mchezo wa jioni ya leo Simba akishinda...
  9. Ligi Kuu ya NBC kuendelea leo Timu zote 16 kukipiga wakati mmoja

    Ligi kuu tanzania bara itaendelea leo majira ya saa 10:00 jioni katika viwanja mbalimbali Mechi za Simba na Yanga kuamua hatma ya ubingwa.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…