Kufuatia kukamatwa kwa mwandishi wa Habari Dina Maningo, Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umesema mwandishi huyo bado hajapatiwa dhamana jambo ambalo wamedai kuwa kinyume cha Sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai.
Mtandao huo umeeleza kuwa ulitoa maelekezo kwa wakili...