Mtaalamu wa saikolojia, Leonard Mgina, amesema kuwa ndoa siyo jambo linalofaa kwa kila mtu, akisisitiza kuwa baadhi ya watu wameumbwa kuishi maisha ya upweke (single) kutokana na tabia zao.
Akizungumza katika mahojiano na Nurudigital Mgina ameeleza kuwa kuna watu ambao, kwa asili ya mienendo...