Akiwa katika mazishi ya Kaka yake Lissu Mzee Alute yaliyofanyika Novemba 10, 2026, Godbless Lema amezungumzia tuhuma za usaliti zinazoelekezwa kwake kutoka kwa baadhi ya wanachama kufuatia matamko yake ya hivi karibuni ndani ya chama, Lema amekanusha vikali akidhani kuwa huenda wanachama hao...