Wakati nafanya utafiti kuhusu " IMANI ZA KICHAWI NA USHIRIKINA NCHINI TANZANIA" nilitembea kwenye vijiji na vitongoji vyote vinavyo sifika kwa uchawi nchini Tanzania.
Moja Kato ya vitongoji nilivyotembelea ni pamoja na kitongoji/ Kata ya Igogo iliyopo kwenye Halmashauri ya manispaa ya...