Wakuu Taifa limetoboka, tuambiane tu ukweli watanzania wanalia tena kilioo cha kwikwi.
Mahospitalini kumejaa maiti
kitaa kumejaa maiti
Ndani ya nyumba za watu kumejaa vilema waliyokosa matibabu ,wanaogopa kwenda hata mahospitali kwa kuogopa kumaliziwa .
Wengine wanaogopa kujitokeza...